nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,731 Reaction score 4,271 Jan 9, 2022 #41 OKW BOBAN SUNZU said: KOCHA WA SIMBA QUEEN: Mchezo ulikuwa mzuri, Yanga princess ni timu kubwa nilijua tu watakuja kutaka kulipiza kisasi, tumewaheshimu, tumewafunga. KOCHA WA YANGA PRINCESS: Aaah tumefungwa kwa sababu hakuna uwiano, SIMBA kwenye benchi kuna mwanaume. Click to expand... Coach wa yanga duh kajazia mbaya. Edina njoo ushuani huku hata nguo zitakupendeza hasa hilo figure lako.
OKW BOBAN SUNZU said: KOCHA WA SIMBA QUEEN: Mchezo ulikuwa mzuri, Yanga princess ni timu kubwa nilijua tu watakuja kutaka kulipiza kisasi, tumewaheshimu, tumewafunga. KOCHA WA YANGA PRINCESS: Aaah tumefungwa kwa sababu hakuna uwiano, SIMBA kwenye benchi kuna mwanaume. Click to expand... Coach wa yanga duh kajazia mbaya. Edina njoo ushuani huku hata nguo zitakupendeza hasa hilo figure lako.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 9, 2022 #42 Kama na timu ya wanamama wanatumia ile kauli-mbiu ya "...daima mbele,nyuma kuna mwiko"..watafungwa hadi wazeeke.
Kama na timu ya wanamama wanatumia ile kauli-mbiu ya "...daima mbele,nyuma kuna mwiko"..watafungwa hadi wazeeke.
Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,592 Reaction score 2,629 Jan 9, 2022 #43 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2074972 Shishimbi aliupiga sana,bahati mbaya alikutana na mido mtaalam Joelle Bukuru akapotezwa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo Yanga wanasajiri akina Shishimbi yaani wakimkosa wa kiume wanasaka wa kike? [emoji23][emoji23] Bukuru yupo good lazima ampoteze
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2074972 Shishimbi aliupiga sana,bahati mbaya alikutana na mido mtaalam Joelle Bukuru akapotezwa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo Yanga wanasajiri akina Shishimbi yaani wakimkosa wa kiume wanasaka wa kike? [emoji23][emoji23] Bukuru yupo good lazima ampoteze
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,762 Jan 9, 2022 #44 Ni hatari na nusu