OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.
Hii ndiyo maana halisi ya timu kubwa.