OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shape gani hii sasa au ndo mambo ya editing mpk paja moja limenyweaDrama QueenView attachment 2398410
Mungu Ibariki SIMBA queensView attachment 2398401View attachment 2398402View attachment 2398403
Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.
Hii ndiyo maana halisi ya timu kubwa.
Kipotabo iko. C unaona thigh gapShape gani hii sasa au ndo mambo ya editing mpk paja moja limenywea
Ndo mnapenda?Kipotabo iko. C unaona thigh gap
Ndo mnapenda?