Yule dogo anaengoza kwa magoli Ghana sasahiv anajua. Mchukueni yule1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni
2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi kuliko hata huyo Fabrice Ngoma mwenye pancha
3..Bernard MORRISON mtoto wa Efua bado yuko full magazine pale FAR Rabat.. huyu mwamba atawapa na udambwi udambwi
Ningeweza kukubaliana na wewe kwa Nyoni ila shida ya Simba ni kujua jinsi sahihi ya kutumia wachezaji ambao umri umeenda. Hii shida ilikuwepo msimu uliopita na imeendelea mpaka sasa. Saido, Boko, Chama, Kapombe, Zimbwe hawa ni wa kuwapa dakika 2-5 tu za mwisho wa mchezo wakati timu imeshapata ushindi na mechi zingine hawachezi kabisa, badala yake hawa ndiyo wanacheza dakika 90 kila mechi na wanategemewa kuleta ushindi.1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni
2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi kuliko hata huyo Fabrice Ngoma mwenye pancha
3..Bernard MORRISON mtoto wa Efua bado yuko full magazine pale FAR Rabat.. huyu mwamba atawapa na udambwi udambwi
AahaaaahaaaMimi nashauri Ismail Aden Rage arejeshwe kwenye nafasi ya Uenyekiti. Maana mashabiki wengi hawamtaki Mwenyekiti wa sasa; Comrade Murtazar Mangungu.
Naamini Rage akirejea, mashabiki wote wakorofi watanyooka kama rula.