Simba S.C; Baadhi ya kumbukumbu Katika Picha.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Mtani wangu.. Nipe 5?!


Huyu askari magereza anazingua.. Niachieni nimpeleke sero.


Fuso likijaribu kumzibia njia Cristiano Ronaldo wa Uganda.


Oyaa wana.. Huyu jamaa tuanaenda kumpunzisha mahali gani?


Haruna Moshi Boban.. Akipenyeza katikati ya Msitu.


Mabingwa wa kihistoria wa VPL katika msimu wa VPL, katika msimu wa 2011/2012.


Fundi Mafisango, akimuadhibu Cristiano Ronaldo wa Uganda.


Mtalaamu wa kona goli.


Tutakumisi daima Mafisango.



Past... and.. Future.


Mabingwa wa VPL.. msimu wa 2016/2017.


Rudisheni 5..[emoji2] [emoji2] [emoji2]



UPDATE. 24/09/2018
"Ni vyema tukawafunza wanetu umuhimu wa kutunza kumbukukumbu.. Maana kupitia hili, itawasaidia kujua walipotoka, walipo sasa na wapi wanaelekea" - Sembo
 

Attachments

  • 1476995508388.jpg
    39.1 KB · Views: 116
Mbona hujaweka ile ya kutorudi uwanjani Baada ya mapumziko... Said sued scuuuud
 
Mwaka huu ndoa ya Yanga Malinzi imeisha baada ya Manji kuingiza watu bure Taifa.Watapigwa sana
 
"Ni vyema tukawafunza wanetu umuhimu wa kutunza kumbukukumbu.. Maana kupitia hili, itawasaidia kujua walipotoka, walipo sasa na wapi wanaelekea" - Sembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…