utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Hata ishu ya Feitoto ilianza kama tetesiTetesi
Una heka heka za kutosha na maswala ya Simba, hebu tujuze what next?Hata ishu ya Feitoto ilianza kama tetesi
Hapo naungana nao, dilisha hili ni vigumu kupata wachezaji bora. Pia kuingiza wachezaji wapya kikosini lazima kocha aanze Tena kutengeneza balance ya timu na hapo timu inaweza ku shake kidogoNi uamuzi sahihi kwa sasa. Ukileta wachezaji wakaanza kugombania namba ndiyo mambo ya kurogana yanapoanzia. Wachezaji wa akiba inabidi wajijue role yao katika timu na wale tegemeo inabidi wajijue pia. Upungufu wa Simba kwa sasa hausemwi na sio ule watu wanaopigia kelele.
Mkuu kwaio nimeingia Cha kike hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pumba
Yupo jikoni huko Simba acha atuletee za ndaani kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una heka heka za kutosha na maswala ya Simba,hebu tujuze what next?
Nawaunga mkono. Sana Sana watapigwa bei ya V8 wauziwe Vitz.Ni uamuzi sahihi kwa sasa. Ukileta wachezaji wakaanza kugombania namba ndiyo mambo ya kurogana yanapoanzia. Wachezaji wa akiba inabidi wajijue role yao katika timu na wale tegemeo inabidi wajijue pia. Upungufu wa Simba kwa sasa hausemwi na sio ule watu wanaopigia kelele.
Sawa tuTaarifa za ndani kabisaa zinasema klabu ya Simba imesitisha mpango wa kuongeza wachezaji dilisha hili la usajili, Sababu zilizotolewa ni pamoja na kukosekana kwa wachezaji wazuri sokoni kipindi hiki cha katikati ya msimu...
Manzoki is coming again. 😇Una heka heka za kutosha na maswala ya Simba,hebu tujuze what next?
Wewe ndiye uliyempa ushauri wa hovyo kiasi hicho?.Feisal atakuja akitokea Azam
Hizi ni shudu zaidi ya pumba,Hapo naungana nao, dilisha hili ni vigumu kupata wachezaji bora. Pia kuingiza wachezaji wapya kikosini lazima kocha aanze Tena kutengeneza balance ya timu na hapo timu inaweza ku shake kidogo
Hata Mimi naona hivyo[emoji1787][emoji1787]Feisal atakuja akitokea Azam
Mkuu huogopi kulogwa? Unabishana na mganga wa jadiWewe ndiye uliyempa ushauri wa hovyo kiasi hicho?.
Yaani kule kwetu wanaita mapanki[emoji1][emoji1]Hizi ni shudu zaidi ya pumba,
Ninyi utopolo wapuuzi sana.Hapo naungana nao, dilisha hili ni vigumu kupata wachezaji bora. Pia kuingiza wachezaji wapya kikosini lazima kocha aanze Tena kutengeneza balance ya timu na hapo timu inaweza ku shake kidogo