sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hizi kauli za kua Simba ya msimu huu (2016/2017) haina kitu zinanikera sana.
Eti ni kama tu ya msimu uliopita (2015/2016).. Ni nguvu ya soda.. Nafasi yake ni ile ile ya tatu..
Zina ukweli wowote???
Hebu tuzichunguze kwa pamoja.
Simba S.C: Msimu wa 2015/2016.. Mechi nane za Kwanza..
12/09/2015: African Sports 0 - 1 Simba S.C
16/09/2015: JKT Mgambo 0 - 2 Simba S.C
20/09/2015: Simba S.C 3 - 1 Kagera Sugar
26/09/2015: Simba S.C 0 - 2 Yanga Yetu
30/09/2015: Simba S.C 1 - 0 Stand United
12/09/2015: African Sports 0 - 1 Simba S.C
17/10/2015: Mbeya City 0 - 1 Simba S.C
21/10/2015:
Tanzania Prisons 1 - 0 Simba S.C
Ukichunguza mechi hizo utagundua..
Idadi ya Mechi: Nane (8)
Alizoshinda: 6
Alizofungwa: 2
Sare: 0
Magoli ya Kufunga; 9
Magoli ya Kufungwa; 4
Pointi; 18
Na msimamo wa ligi baada ya mechi 8 ulikua hivi..
Simba S.C: Msimu wa 2016/2017.. Mechi nane za Kwanza..
20/08/2016: Simba S.C 3 - 1 Ndanda
27/08/2016: Ruvu Stars 0 - 0 Simba S.C
07/09/2016: Simba S.C 2 - 1 Ruvu Shooting
11/09/2016: Simba S.C 2 - 0 Mtibwa Sugar
17/09/2016: Azam 0 - 1 Simba S.C
24/09/2016: Simba S.C 4 - 0 Maji Maji
01/10/2016: Yanga Yetu 1 - 1 Simba S.C
12/10/2016: Mbeya City 0 - 2 Simba S.C
Ukichunguza mechi hizo utagundua..
Idadi ya Mechi: Nane (8)
Alizoshinda: 6
Alizofungwa: 0
Sare: 2
Magoli ya Kufunga; 15
Magoli ya Kufungwa; 4
Pointi; 20
Na msimamo wa ligi mpaka sasa uko hivi..
ONYO:
SIMBA S.C hii ya 2016/2017 ni hatari sana.. Weka Mbali na WATOTO.