Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Hao hata wabaki na vipolo 10 hawatukut[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, Bodi ya Ligi ambayo wapo responsible na kupanga mechi za VPL, ni jipu.. ambalo limeiva.
Na katika hili.. Hakuna mwenye uthubutu wa kutuzuia.
Pamoja sana mkuu. Tuko pamoja ndani ya chama kubwa..Shukrani Mkuu.. Ni makosa tu ya uandishi.
Leta na takwimu za kung'oa viti
Hapa hatuzungumzii netball weweHamna kitu bana hawa Mikia FC..