Simba S.C yala sahani moja na vigogo hawa wa Ulaya.

Weekend ijayo tutakua Shinyanga.. Mkoa wenye miundombinu mibovu.. Nitarudi hapa hapa kukupatia matokeo ya mechi hiyo.
Ila hiyo mechi simba atashinda tu make nikiwaangalia stand sahivi hawapo vizuri kama mwsnzo .mabeki wameanza kuruhusu magoli kirahisi sana
 
Ila hiyo mechi simba atashinda tu make nikiwaangalia stand sahivi hawapo vizuri kama mwsnzo .mabeki wameanza kuruhusu magoli kirahisi sana
Haha.. Sasa mkuu kama mpaka sasa tushawafunga stand.. Ni nani sasa atatufunga huko mikoani?
 
Weekend ijayo tutakua Shinyanga.. Mkoa wenye miundombinu mibovu.. Nitarudi hapa hapa kukupatia matokeo ya mechi hiyo.
Haha.. Sasa mkuu kama mpaka sasa tushawafunga stand.. Ni nani sasa atatufunga huko mikoani?
Ila uko kusini kuna timu zakawaida sana ila vizinaweza kuihaibisha simba, siunajua jinsi vitimu vidogo vidogo vinavyopaniaga
 
UPDATES:
Nikiwa na huzuni tele.. Ningependa kuwafahamisha kua, leo tumemopoteza bingwa mwingine katika kundi hili la mabingwa wasiofungika katika msimu wa 2016/2017.. katika ligi zao. Huyu si mwingine bali ni Villarreal ambaye leo kagongwa 2-1 na Eibar katika La Liga.
Tumebaki;
1. Simba S.C
2. Real Madrid
3. Nice
4. Tottenham
5. Bayern Munich
 
Wakuu wakati ligi ya VPL ikiendelea ni vyema kuweka kumbukumbu muhimu hasa kuhusu timu inayotajwa kuchukua ubingwa kabla ya ligi kwisha.

Simba Sc Mnyama mkubwa Mwendo Kasi 4G amekuwa na rekodi chafu sana katika ligi inayoendelea.

Kwa muhutasari tu ni kwamba Taifa Kubwa tumeshacheza mechi 12 mpaka jana. Katika mechi hizo tumeruhusu goli 2 tu na moja la mkono lilofanywa na ndugu zetu wa Yanga.

Tayari tumeshinda mechi 10 na kutoa suruhu mechi 2.Tumefunga magoli 24 na mchezaji bora kabisa Shiza Kichuya akiongozo kama mfungaji bora.

Kwa maneno mengine Simba ina kipa bora,beki bora,mido bora,na fowadi hatari.Simba ndio timu pekee isiyochagua uwanja wa kuchinjia.

........itaendelea. Yanga tunaikamatia Chini
 
Ni mapema sana kusema simba itakuwa bingwa maana inacheza football sio ligi ya NBA
 
ukifungwa hua unapoteaga hata mwezi wewe,ukirudi unasingizia ulikua bize,hiyo bize mkishinda haipo?muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…