Simba Sasa Ijiandae na Waydad

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga.

Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
 
Wydad hata wakitufunga sio mbaya, tutakuwa tumefungwa na timu kubwa.

Ila hatuwezi kuwa wanyonge lazima tuwaoneshe kama sisi ndio presenter wa East Africa

Na kama waliangalia Derby vizuri lazima watakuja na tahadhari kwasababu wameona kikosi chetu bado haifahamiki kuwa nani ni mchezaji wa kuchungwa sana kwakuwa hata mabeki wetu nao wanafunga
 
Ijiandae na nini sa wakati matokeo ata wao wanayajua
 
Simba kumfunga Yanga ndio kombelenyewe, Malengo yamesha timia maswala ya vikombe sio kipaumbele Kwa Sasa.
Umeumia sana utopolo uliwa bila mafuta nyinyi sindo mlikuwa mnatuambia kuwa eti hakuna timu ya kuifunga utopolo E.Africa nzima sasa imekuwaje?
 
Na iyo ndio level ya Simba, Sasa kutaka kujifananisha na wakubwa nyie bado sana.
Bado vipi wakati yupo huko kwa walikobakia wakubwa watupu. Wewe si ulikuwa unafanya sherehe za anibiteni za ruvu? Wakubwa wanashindana na wakubwa wenzao wadogo wote wapo huko shirikishoni. Aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…