Simba sasa wamgeukia mchezaji Debora ..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba

Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora .

Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja kuongeza nguvu za kike pindi simba itakapokutana na yanga yenye wanaume shupavu na wenye ugwadu kama Khalid aucho..

Binafsi naipongeza simba kwa usajiri huu makini
 
Kul
Kule Joyce,huko Debora.
Endeleeni.
 
Sijui unapata wapi ujasiri kuandika hayo wakati mmekuwa na mchezaji tegemeo kama Joyce. Uto huwa ni wasahaulifu sana nyie viumbe
Lomalisa anaweza kuondoka

Sasa tumeletewa Debora.
 
Naomba jina lake kamili tafadhali! Anaitwa Debora nani? Debora Mangungu, au Debora Kigwangala?
 
Mtu anaywweza kuandika habari hii ni MASKINI tu asie na hela.
 
Sisi kama simba tutamsajiri kelvin Kapumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…