Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Mmemsajili na kumlipa mshaharta kwa ajili ya kusababisha kadi ya njano?

Kama ni hivyo katimiza malengo yenu
Tuisila kisinda alimlambisha udongo

Mayele kapiga tobo na kadi juu

Zaidi ya kuongoza faulo hauna lingine la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…