NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Trust me, leo wote wanaweza kufakisha lakini sio boccoToa Wawa.
Toa Boco.
Toa Bwalya.
tofauti na hapo sitaki mazoea na kikosi hiki cha mechi la leo.
Wewe kama mimi! Nasubiria zangu fainali ya Afcon saa nne usiku.Sipotezi muda kuangalia mpira papatu papatu
Sakho ndio tegemeo langu la mwisho kwenye kikosi.8'
Pape osthman sakho kafanya shambulizi zuri lakinipira umeokolewa na kuwa kona