Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
DSTV Inaonyeshwa Sifahamu Channel Namba NgapiAnaye weza kunisaidia nione Hii Mechi Wakuu Sipo Tz
Naona Anaenda Kutufunga Kwa Wazee HawaHivi kumbe Tuisila kaanza ndani??
Dakika 10 zimekatika bado milango ni migumu
Haonekani kabisa huyo mfukuza upepo.
12'
Simba Wanamiliki Mpira Kuanzia Eneo Lao Hadi Karibu Ya Nje Ya Box La Berkane.
Mkude Anapiga Shoot linakuwa Nje Na Dhaifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Wanajisahau Wanacheza Hovyo Ndani Ya Box Lao.
Kanoute Anaokoa
Sent using Jamii Forums mobile app