Sijui[emoji1787]kwel hujui [emoji1787]
sema namuogopa huyo wa kwenye profile hapo [emoji12][emoji12]Sijui
Nieleze Boss
Ndg. yangu ss wengine tunafatilia mpira kitambo sana tangu enzi za David Ginola, tuna uwezo wa kumjua mchezaji kama ni mzuri akigusa mpira mara moja tu.Lete sababu
[emoji1787]sema namuogopa huyo wa kwenye profile hapo [emoji12][emoji12]
Sijui amepatwa na niniKweli hawakukosea kumuita Boko Boko ametoa Boko dah
Viva simbaKila la kheri Simba SC nguvu moja..
Ndg. yangu ss wengine tunafatilia mpira kitambo sana tangu enzi za David Ginola, tuna uwezo wa kumjua mchezaji kama ni mzuri akigusa mpira mara moja tu.
Huyu jamaa kwanza umri mkubwa 30+, hajiamini, hana uthubutu wa ku take-on defenders.
Halaf ukumbuke anacheza dhidi ya Selem sio Prisons wala Berkane.
Kwa kifupi hana kiwango cha kuchezea Simba.
huyo hapo anakodoa macho hapo kwenye profile picha[emoji1787]
Nani huyo ?
amepatwa na nini vipi. Lini aliwahi kuwa na kiwango cha maanaSijui amepatwa na nini
ila Boko ni mchezaji mpuuzi ligi nzima
Ukiangalia na msimu uliopita hakuwa na kiwango hichi .amepatwa na nini vipi. Lini aliwahi kuwa na kiwango cha maana
Usimuogope huyo bhana [emoji1787][emoji1787]huyo hapo anakodoa macho hapo kwenye profile picha