Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Mpira ni mzuri na umechanganya, sikuweza kufikiria kama simba ingepata upinzani kama huu
 
Simba wanacheza offside sana, mpaka muda huu washacheza offside mbili
 
Kuna Mtu anaitwa Jimmyson sijui Alikuja Simba Kufanya nini
 
Kuna Mtu anaitwa Jimmyson sijui Alikuja Simba Kufanya nini
Kila anachofanya anakosea. Nimecheka Sana... Masikini Makolo sijui mnawaokotaga wapi wachezaji kama hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mchezaji wa team ya view kapata injury uwanjani sasa refa kaita First aid team ije kumtibia

Nimeshangaa kuona wauguzi wameingia na vilemba uwanjani, nilishasahau kama tupo zenji.
 
Simba papatu papatu tumekosa goli hapa
 
Kila anachofanya anakosea. Nimecheka Sana... Masikini Makolo sijui mnawaokotaga wapi wachezaji kama hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole Utopolo , Huyo Jimmyson katoka Gwambina FC.. ni kijana mdogo mwaka jana alimaliza ligi akiwa na goli 7 mkononi.
 
Simba inapata kona dakika ya 18 ya mchezo
 
Dilunga mpaka saizi ndio man of the match
 
Replay ya azam ni mbovu sana
 
Kuna lile kundi la waimbaji kule zenji liliongozwa na mzee yusuph linaitwa offside trick

Sasa zile trick wamezi master hawa selem view na ndio maana simba wanacheza offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…