Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Ulr mpira ulianza kumpitia boko, ila kama kawa boko akau miss ukamkuta sackho
 
Hasan dilunga kapiga shuti limeenda nje ya lango ilikua hatari
 
Dakika ya 32 Sakho kachezewa foul nje kidogo ya penalty box na sasa hiyo ni freekick ebu tuone
 
Wameweka maspika ya whatt 10,000 uwanjani
 
Bwalya kafunga goli ila limekataliwa offside
 
Simba will make it.. It won't let us down
 
Bado tunaendelea na takwimu yetu

Simba inacheza offside ya 6
 
Ila wawa naona leo hana utulivu kabisa nahisi kisaikolojia hayupo sawa
 
Offside ya 7 simba inacheza
 
Wawa kafunga goli ila limekataliwa ni offside
 
Tunaendelea na rekodi yetu

Semba inacheza offside ya 8
 
kuna mshika kibendera mmoja huyo anaziona sana OFFSIDES [emoji848][emoji848]
 
Wawa kajitahidi maskini kapiga header ila kibendera na lishati lake kanyanyua kibendera chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…