Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
ITAKUWA MADODOGOHAWAWEZI KASI YA SIMBA WANATEGEA, ANYWAY NIPO MALI NA TV.Tunaendelea na rekodi yetu
Semba inacheza offside ya 8
kweli apewe heshma iliyotukuka apumzike.Ni mda wa Simba kumpa shukrani bocco na wamwache
Hili bonànza mnalitaka?Nimekosa, nimekosa,,,nimekosa mimi, nisameheni wana Utopolo ili kombe mwisho ni msimu huu, mwenye kombe lake ni mnyama Simba aliyekunjua makucha.
Nyinyi mbona mmekwenda?Hili bonànza mnalitaka?
akili inataka mwili unagoma ,ile goli alikuwa ameshakosa ni sakho kaokoa jahazikweli apewe heshma iliyotukuka apumzike.
Mwaka jana mlipigwa mkasema bonanza mwaka huu mnasemaje tuambizane mapemaNyinyi mbona mmekwenda?
Still ni bonanza na ndio maana wala hatumii nguvu nyingi.Mwaka jana mlipigwa mkasema bonanza mwaka huu mnasemaje tuambizane mapema
maneno yenu ya shombo ya mwaka jana yanawaponza mwaka huu.Mwaka jana mlipigwa mkasema bonanza mwaka huu mnasemaje tuambizane mapema
Mnataka au hamtaki ?Still ni bonanza na ndio maana wala hatumii nguvu nyingi.