Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Maramamake hilo shuti ngoja nikipata muda nitaliezea speed yake ila kwa saizi bado nalifananisha speed yake na kile kifaa kilichotumwa mars
 
Halafu huyu refa ni very slim atakuwa ni mdogo wa AT nini?

Nahisi atakuwa kaweka na mawe mfukoni sidhani kama ana stamina ya kuhimili upepo bila kuanguka
 
kwani Dilunga anakumbia kama Rahim Sterling au mm ndo macho yangu yako na ukunguu
 
Boko kaucheza hapo, oya mazee bado tuendelee na msimamo wetu kwamba atoke?
 
Simba Yule Phiri tungemchukua hata kwaajiri ya Ligi Kuu. Hatuna Striker 100% Si Bocco Si Kagere Si Mugalu
 
Back
Top Bottom