Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Simba Sc 2-0 Selem View Fc | Mapunduzi Cup | Zanzibar

Uyu Sakho hapa bongo tunamdhalilisha kwakweli,mpaka sasa ajajengewa sanamu!
 
Bocco ni kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Phiri utamsikia kwenye bomba tu[emoji23][emoji23][emoji23]
*_Klabu ya Simba wamemalizana na Moses Phiri, Mchezaji wa ZANACO na raia wa Zambia



Ameshasaini mkataba wa awali na atajiunga na Simba msimu ujao_*
 
Msijidanganye, Moukoro hana kiwango cha kucheza Simba.
 
Kakolanya kasababisha kona ambayo haikua ya lazim
 
Back
Top Bottom