OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #301
Tupe matokeo mkuu,hiiii hiiiMikia mnazingua na hayo mabadiliko kila muda. Kubalini tumewala mwafaaaaaaa.
Asiyetaka afweeee kwaajili yetu hahahahahahaa what a weekend.
#teamyangaforever#
1-1 dakika ya 76Tupeni mrejesho bhasi!
Kabisa aiseeInabidi Simba wawe wanacheza pungufu ili wacheze vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaandika huku umeshika pumbuuuu??Shagalabalabsksksvxkciagshdpdshshs
Halafu nimegundua washabiki wengi wa yanga ni wanawake, tena wale mashankupe
Dada ana hizo nanihii???Unaandika huku umeshika pumbuuuu??
Mimi mnyama mnyamanihahhhahhaha we utakuwa simba ww....pole sana mtani....
Kala bangi nyingi kakosa pumziYondani anaomba maji[emoji23][emoji23]
Ohooooo!Sijaelewa, hivi naona kama ndani kuna wachezaji 20 wa Simba...daah