Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

asante Mungu mungu ibariki simba
 
Wakuu embu jaribuni kubashiri vichwa vya habari vya kesho vitakuaje kuhusu mechi ya simba na yanga


1)Simba yailarua Yebo yebo bila huruma



2) Wema apeleka gundu Yanga Sc taifa


3)Kichuyaa sio wa mchezo mchezo

4)mnyama aitafuna ndala


5)Yanga bunyero bunyero Simba kidedea

6)Wakimataifa wafa kifo cha mende taifa

7)Simba ngoma inogile

8)Hatimaye bando la wanajangwani la chacha

Bashiri na wewe vichwa vya habari vya kesho magazetini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…