hahaha... upo mrembo?!
Hongera sister yangu..!ingawa mie shabiki wa yanga kiukweli goli tamuu.
wengine ni simba, nadhani wameshangilia kwa furaha mpaka kuzimia.Huenda"arosto" hiyo
Yupo RehabNaombeni kujua hivi Manji bado yupo jela?
WakapimweYanga wapelekwe moja kwa moja kwa mkemia mkuu
asante aiseeeHongera sister yangu..!
Ni aibu kubwa kwa Yanga kufungwa na Simba ikiwa na wachezaji 10[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kichwa hatari...Kinyume chake