Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

mvua imenyesha ujue yanga kapigwa unakumbuka zile tano
 
Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Mpendwa Upo? Umetabiri Kama Mimi.
 
Labda serikali inawatisha mikia wasing'oe viti kwa mvua ya magoli watakayokutana nayo
 
Kikosi maalum kimeshawasili!
Tujitahidini kushabikia kwa amani!
 

Attachments

  • IMG-20170225-WA0001.jpg
    17.2 KB · Views: 24
  • IMG-20170225-WA0002.jpg
    14.9 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…