Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

Kamanda sirro wahi Temeke kachukue mateja wako ule ndo ushaidi tosha umeona mwenyewe wallivyotepeta walikua arosto
 
Oyoooooooo!! [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Reactions: PNC
ukirudia na mi naqoute tena
 
ukirudia na mi naqoute tena
 
Baba mwenye nyumba YANGA aliondoka kwenda uwanja wa taifa kwa kejeli na mbwembwe kibao kwa wapangaji wake kwamba anaarud na ushind na kama mnyama akiondoka na ushindi atawanunulia bia na kuku mziima kila mpangaji wake..
sasa hapa ndo anaingia kwake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu kumbe una fujo hivo
 
Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
Pole kwa kuliwa na Simba.. umepona lakini? kama niliona ukizimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…