Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbona unatabiri kiwogawoga?Haya hayaaaaaa,mikia tukutane jioni Taifa.
Utabiri wangu ni Yanga 1-0,au mkijitahidi sana tutatoka suluhu (0-0)
Forever Young Africans
afu watu bado wanasema eti Wema ni nani nchi hii, nadhani sasa wameshapata majibu.hahaaa yani serikal ya kipumbavu hii kweli yani wamejaza mijipolisi mingi kisa tu wanamuogopa wema!
Huu woga wote wa nini?
Mimi mwenyewe wamenishangaza sana. Polisi na makachero wamejaa utafikiri kuna vita au tukio la ugaidi.Huu woga wote wa nini?