Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
WameachiaWanabaana halafu Wataachia...
Tunafanya ujinga sana, mechi yenyewe tumeshaiweza vizuri kabisa.Simba tuache ukuda na ushamba sasa beamlights laser zanini kumulika wachezaji na kipa wa USG
Jambo la msingiMlinde goli sasa,msijisahau
Mnyama kamla swala mbishi.Nasikia kelele vip huko?
Huyu kibu huyu sijui lknSakho out......kibu Denis in