Uto tunasema mpira dk 90 🤣🤣
Nimesikitika sana, nasikia Simba wanataka wamuacheHuyu Morison mtu hatariiii kabisaaa
[emoji23]Tulieni hivyo hivyo mbwa nyie
Morrison ni bonge la player bwana.Nimekaa na Utopolo Mmoja Kang'ang'ania 'Eti' BM3 wakili msomi Aachwe ..! Kweli kwa kiwango hiki..!
Kwa Mamlaka niliyopewa namjibia MO ..Haachwi mtu hapa..!
Sioni watu wakimuongelea Morrison, kaupiga mwingi sana akifika kwenye 18. Magoli yote ni juhudi zake.