Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Refa kwani hakujua Dakika 4 alizoongeza zilishaisha?
Yellow kadi katoa ya nini?
Wanajisahau sana hawa jamaa.
Hawawazi kusonga mbele huko.
Unaelewa maamuzi ya dakika kuisha huamuliwa kupitia mamlaka ya nani kiwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…