Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna comments nimerudia kuzisoma mpaka nimechekaπŸ˜‚πŸ˜‚

Daah, huu utani huu raha sana
🀣🀣🀣 umeonaee. Mtani na si ajabu umejishangaa na kujishangaa jinsi ulivyoandika. 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣 umeonaee. Mtani na si ajabu umejishangaa na kujishangaa jinsi ulivyoandika. 🀣🀣🀣
Si unajua tena raha ya keyboard ukiwa unamchemsha mtaniπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚
 
Hahahaaa. Lol.

Haya mie nipo Mtani naisubiria tarehe 17.

🀝🀝
Pamoja mtaniπŸ‘πŸ™

Tunawakilisha nchi. Tukilileta kombe mkubali tu tuwalingishie maana hiyo ndiyo jadi.

Tukilikosa mtucheke kidogo maana na ninyi si mlilikosaπŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…