Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

Sasa hivi Simba ushindi sio wa kuuliza. Lazima ishinde.
Iwe refa
Iwe penati
Iwe red card
Iwe dakika 140

Lazima tushinde tu. Ninyi jitahidi kuvichachisha viporo, lakini vitaliwa tu.
Hiyo ni maana halisi ya SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwela
 
Ubaya Ubwela
 
Daaah kwa hali ya hewa hii na hichi kimvua goli 3 tutazipata kweli?
 
mechi za mazingaombwe
Wakati Simba wanakuja na Ubaya Ubwela,

Mlikuwa bize mnanunua mechi kwa mfumo wa udhamini. Kaeni mtulie dawa iwaingie.

Mmebakiza chaka la mabingwa wa kihistoria ya mchongo
 
Wakati Simba wanakuja na Ubaya Ubwela,

Mlikuwa bize mnanunua mechi kwa mfumo wa udhamini. Kaeni mtulie dawa iwaingie.

Mmebakiza chaka la mabingwa wa kihistoria ya mchongo
ubaya ubwege una najisi soka safi
uwanjani bila msaada wa refa hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…