mbona huna mpira wa maanaNa leo ni Birthday ya MO unategemea zawadi ni nini?
Kumbuka yule ni bilionea hivyo pesa sio moja ya zawadi unayoweza kuifikiria kuwa atapewa.
We are very sorry kwa Pamba mmekuja kipindi kibaya.
kama dawaKama kawaida
Wewe ndio unasema hivyombona huna mpira wa maana
Ila nafsi zinawasutaUmesahau dakika 15 FC
Hayo majina sisi hayajawahi kutusumbua ikiwa mechi imeisha mnyama kashinda
Lakini si ni mwamuzi wa ligi ya NBC au katoka daraja la 3 huko.Kuna timu utafikiri inacheza rede! Ukiwagusa tu wachezsji wake, tegemea kukutana na faulo au penati!
Halafu mechi zao zote wakicheza huwezi kumkosa mwamuzi wa kike.
Ubaya ubwelaTFF VS PAMBA
1-0
LOH
Hivi TFF wangekuwa hawana akili kama ninyi wakawapa pointi 3 hizi kelele zingekuwepo leo🤣🤣😂BODI YA LIGI FC VS PAMBA
1-0
KARIA FC VS PAMBA
1-0