Simba SC achaneni na Kumtaka Simon Msuva kwani japo ni mwana Simba SC, ila ni Mnafiki na haaminiki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwacheni aende tu huko kwa Marafiki zake Wakubwa akina Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC ) na wana Yanga na wala msipoteze muda Wenu kumhitaji kwani ana Sifa kuu nisiyoipenda ya Unafiki na Kutumika.

Kikosi cha sasa cha Simba SC Kinatosha na Kikiaminiwa tu kina Uwezo wa kufanya Makubwa ndani NBC , ASFC na nje CAFCL hadi mkashangaa.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Acha kuharibu maisha ya watu kwasababu zako zakijinga.wewe nani anakufwatilia uko unakotafutia ridhiki?.
 
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
UKIONA KELELE nyingi na
Matusi ujue Dawa imekolea.

SINDANO NIMEINGIZA KISAWASAWA.!!!!
 
Yaani Msuva hata apewe ahadi ya mshahara wa laki 9 na Yanga, huku Simba wamuahidi mil 5. Bado atachagua kufanya kazi Yanga SC. Ambapo pana mazingira mazuri zaidi yanayofanana na ya kule ughaibuni.
Feisal, Bangala, Mayele, Djuma wote kwa mkupuo wameyakataa mazingira mazuri zaidi yanayofanana na ya kule ughaibuni.
 
Kama wanahaha kukata jina hao viongozi ni wapuuzi wa kutupwa. Majina ya wachezaji wa kigeni ya kukata mbona yako wazi kabisa? BANDA na SAIDOO.
 
🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…