Simba SC bado ni underdog, Yanga itabaki kuwa ni timu bora

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Jana tuliwaambia SSC mjifunze kwa KVZ, Yanga imechezesha kikosi cha tatu jana lakini leo SSC ni full mkebe but kinachotokea uwanjan ni majanga.

Kwa mpira huu wa kukosa utulivu kwa striker wa SSC je watatoboa makundi CAFCL?

Bado SSC ikiwa full haiwezi kuikabili Yanga ikiwa ful mkebe, kwanza beki za SSC bado zinapwaya, kukiwa na okrah , Aziz K , Pacome, Farid na musonda……. Hivi SSC si mtakula kumi?

Nasema Tena Yanga itabaki kuwa timu bora kwa miaka 3 mfululizo, CAF inatakiwa kureview sasa timu bora kwa TZ kwa sasa ni iPi,

ni Yanga au SSC.

Hata Super Leageu Yanga ndio inapaswa kushiriki kwa sasa na sio SSC .

Tukiangalia kwa mapana zaidi , kwa sasa Yanga ndio inapaswa kushiriki michuano mikubwa na sio SSC.
 
Usiifananishe APR na vitu vya kipumbavu ambavyo hata hapo Somalia tu havijulikani
 
Hata Super Leageu Yanga ndio inapaswa kushiriki kwa sasa na sio SSC .

Tukiangalia kwa mapana zaidi , kwa sasa Yanga ndio inapaswa kushiriki michuano mikubwa na sio SSC.
Tunaheshimu maoni yako...ila sio lazima tuyakubali.
 
Mtu anakosa tu usingizi anajiandikia maujinga. Hata kama ni Utopolo jitahidini basi kuficha upumbavu wenu
 
Hahahahaaaa.... Fomu izi temporari na Klasi izi pamanenti, weka akilini hiyo.
 
Unajiandikia au umeandikia na wengine wasome, sababu haya ilitakiwa wakati umekaa na mmeo ndiyo mujazane huu utopolo.

Haya hupaswi kuyaleta humu.

Unaonekana zuzu.

Ukubwa wa timu hauji kwa kuchezesha wachezaji wa kuokota na baadae ukajisifu.
 
tutawaonesha keshokutwa jinsi ya kuwafunga APR na kikosi cha pili+cha tatu
Haya ni maneno ya Gamondi.

Nb:mtu umevimbiwa zako mihogo unakuja humu kujifanya nawe ni kocha wa Yanga.
 
Jana onana hata sub hakuwepo walivyoona maji yamezidi unga wakamfata jukwaani aje aòkoe jahazi....lakini bado mambo yakawa bado magumu
 

Attachments

  • Screenshot_20240106-092158_Instagram.jpg
    287.3 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…