Simba sc English on Twitter kweli hii ni next level

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"

Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
 
Acheni ushamba, hiyo ni lugha kama lugha zingine! Kwa akili yako ukikutana na mtoto anaongea Kiingereza utasema huyo mtoto ni msomi.🤑🤑🤑
 
Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"

Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
Tunavyowaita mabwanyenye wala hatukosei, kwanza mlivuruga sana harakati za kupatikana kwa Uhuru wa nchi hii kisa kujipendekeza kwa mabwana zenu! Mngeandika kidengereko ningewapa heko!
 
Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"

Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
Ufala huanza taratibu.
 
Ongezeni Kihindi, Kiarabu na Kichina.
[emoji240]
 
Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"

Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
Mhariri atakuwa ni Manara?
 
Back
Top Bottom