mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kama sio ajabu na nyie andikeni...acha kulialia manyaniAcha ushamba wewe, sasa kuandika kwa lugha ya kingereza ndio unaona ajabu
Tunavyowaita mabwanyenye wala hatukosei, kwanza mlivuruga sana harakati za kupatikana kwa Uhuru wa nchi hii kisa kujipendekeza kwa mabwana zenu! Mngeandika kidengereko ningewapa heko!Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"
Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
Ufala huanza taratibu.Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"
Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe
Mhariri atakuwa ni Manara?Kwanzia Leo taarifa rasmi za simba sc za lugha ya kingereza zitatoka kupitia official page yao ya lugha hiyo itakayo julikana kama "Simba sc English"
Utopolo mpooooo?
Mambo ya Barbara Gonzalez hayo endeleeni kumsubiri senzo aige
Hii ni next level iga ufe