SIMBA SC fanyeni juu chini kiingilio cha chini kiwe sh 3000 katika mechi ya tarehe 12

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Kilichofanya mashabiki Wakajaza uwanja katika mechi yenu na nkana ni kiingilio cha chini ambacho watu wa chini waliweza kukimudu so msije mkavimba vichwa mkapandisha viingilio vya mechi ijayo mkidhani kuwa watu mtawapata wengi

Wekeni kiingilio kile kile msilete tamaa la sivyo watu wataangalia mpira kwenye vibanda umiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga njooni muone maana ya kimataifa...
 
Sasa Haji na wajanja wenzie wakale wapi?
Toka buku 3 hadi 5 tofauti ya buku 2 kwa watu karibia 40,000, kuna 80M hapo.
Mjini shule.
 
Lipeni tu mbumbumbu,si mnajifanya mnahela,acha kulia kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…