Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Napenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi!
Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki, washindiliaji na wahamasishaji tena wachonganishi....... etii Sacko hanauwezo, mara kiwango chake hakiridhishi, mara hawezi kuvaa viatu vya Mickson..... utadhani wao ndio waliomsajili wenyewe!
Simba ilishajua mchezaji wao nimajeruhi ila uwezo wake ni mzuri sababu walishamfwatilia na akaonesha kiwango kizuri sana kule Morocco, hivyo ilivuta subra mpaka apone na kuanza mazoezi na SASA KILA MTU ANAMUIMBA SACKO HATA WANAFIKI WANAITIKIA WIMBO WAKE hii ndiyo bongo yenye wachambuzi wa michongo