Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Wachambuzi wa bongo wanatuharibia sana soka letu na wanajua ila wanajikausha tuNapenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi!
Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki, washindiliaji na wahamasishaji tena wachonganishi....... etii Sacko hanauwezo, mara kiwango chake hakiridhishi, mara hawezi kuvaa viatu vya Mickson..... utadhani wao ndio waliomsajili wenyewe!
Simba ilishajua mchezaji wao nimajeruhi ila uwezo wake ni mzuri sababu walishamfwatilia na akaonesha kiwango kizuri sana kule Morocco, hivyo ilivuta subra mpaka apone na kuanza mazoezi na SASA KILA MTU ANAMUIMBA SACKO HATA WANAFIKI WANAITIKIA WIMBO WAKE hii ndiyo bongo yenye wachambuzi wa michongo
Kama hi hujui Jambo uwe Unanyamaza tu sawa? Kwa Taarifa yako tu ni kwamba CEO Barbara, Mwenyekiti wa Simba SC ( Wanachama ) Mangungu na Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng'ambi walitaka Sakho aachwe ila Mshauri Mkuu Magori, Kocha Msaidizi Matola, Mchezaji wa zamani Simba SC Dua Said na Mchambuzi mwana Yanga SC ( ila Mwanamichezo Ally Mayai Tembele ) pamoja na Sisi wana Simba SC tunaoujua Mpira hapa JamiiForums ( nikiwemo ) tukakataa, tukaonya na kutoa sababu za Kiufundi na hiyo nia ya kuachwa Kwake ikatoweka.Napenda kuliweka wazi swala hili baada ya kuona watu na wachambuzi wengi wakidai Simba SC ilitaka kumwacha Sacko sababu ya majeruhi!
Ukweli ni kwamba wachambuzi wetu wa Bongo ndio wanafiki, washindiliaji na wahamasishaji tena wachonganishi....... etii Sacko hanauwezo, mara kiwango chake hakiridhishi, mara hawezi kuvaa viatu vya Mickson..... utadhani wao ndio waliomsajili wenyewe!
Simba ilishajua mchezaji wao nimajeruhi ila uwezo wake ni mzuri sababu walishamfwatilia na akaonesha kiwango kizuri sana kule Morocco, hivyo ilivuta subra mpaka apone na kuanza mazoezi na SASA KILA MTU ANAMUIMBA SACKO HATA WANAFIKI WANAITIKIA WIMBO WAKE hii ndiyo bongo yenye wachambuzi wa michongo
Hili nakuunga mkono. Watu wanamiona Sakho Sasa hivi Yuko kwenye form ndo wanajifanya Messi wa Simba. Nakumbuka walivyokutolea maneno makali humu ulipoleta Uzi wa kumtetea Sakho asiachwe.Kama hi hujui Jambo uwe Unanyamaza tu sawa? Kwa Taarifa yako tu ni kwamba CEO Barbara, Mwenyekiti wa Simba SC ( Wanachama ) Mangungu na Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng'ambi walitaka Sakho aachwe ila Mshauri Mkuu Magori, Kocha Msaidizi Matola, Mchezaji wa zamani Simba SC Dua Said na Mchambuzi mwana Yanga SC ( ila Mwanamichezo Ally Mayai Tembele ) pamoja na Sisi wana Simba SC tunaoujua Mpira hapa JamiiForums ( nikiwemo ) tukakataa, tukaonya na kutoa sababu za Kiufundi na hiyo nia ya kuachwa Kwake ikatoweka.
Jioni Njema.
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa Shani ( Tunu ) yake ya Kipekee Kwangu na Karama ( Zawadi ) ya Kiupendeleo aliyonipa.Hili nakuunga mkono. Watu wanamiona Sakho Sasa hivi Yuko kwenye form ndo wanajifanya Messi wa Simba. Nakumbuka walivyokutolea maneno makali humu ulipoleta Uzi wa kumtetea Sakho asiachwe.