Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake kuihudumia timu kwa mambo mbalimbali ambapo tangia ameanza kuifadhili timu mpaka Leo huenda ametumia zaidi ya hiyo billion 20, faida wanayodai mo anapata ni kuweka nembo ya mo Xtra kwenye jezi za simba ..Mimi nasimama na mo kwamba Simba haijamnuifaisha na chochote labda yeye ndio kainufaisha Simba ..kwa mambo yanavyoendelea itakuwa poa sana mo aachie timu waendeshe wengine huenda watapata faida