BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata kidogo.
Nimeamka nimekutana na habari za moto moto Awesu Awesu ni mchezaji wa KMC FC. Simba walipitia mlango wa nyuma kumrubuni mchezaji, kweli club kama Simba inafanya madudu kwenye usajili.
Simba hakuna hata mmoja mwenye akili mule,hakuna wasomi Mo hajasoma Mangungu pia hajaenda shule ndo maana club inaendeshwa kimagumashi.
Soma Pia:
Kuna sehemu TFF hawako sawa haina maana kuwa na mapenzi ya dhati yasiofichika kwa Simba,msimu huu wanaingia mara 4 kwenye migogoro na wachezaji wa timu nyingine wanawarubuni kweli TFF inatoka inasema hawajapata ushahidi wa kimaneno au video,nauliza hivi Awesu Awesu kwenye kambi ya Simba alienda kutembea tu? na wamemtambulisha kwenye official page za Simba pia amecheza.
Kufanya mazungumzo na mchezaji mwenye mkataba na club nyingine ni kosa kisheria,na sheria inasema kufungiwa kusajili kwa madirisha kazaa,Leo hii unasema hakuna ushahidi kweli jamani?
Unawezaji kumsajili mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine kuna mambo yanachanganya sana.
KMC wanataka Simba wafuate utaratibu waje wakae mezani mambo yaishe sio unaweka pesa kwenye account ya KMC bila kuzunguka na club kubagain,Simba wameweka million 30 KMC wanataka millioni 50,mpaka hapo inaonyesha KMC hawamuhitaji mchezaji tena ila wanataka kunufaika na mchezaji wao.

- Hizi pingamizi kwa wachezaji wa Simba maana yake ni nini?
- Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka