Mr Never Mind
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 287
- 335
- Thread starter
-
- #21
Freedom of Expression
Mbona mnapata Shida sana mtu akitumia uhuru wake kuongea na kujieleza
Hayo ni mawazo yake ambayo ni tofauti na wewe, kwahyo huna sababu ya kumpinga
Watanzania tumetengeneza cycle ya kumuona mtu hafai, mjinga, jeuri, kilaza endapo ataongea, kufanya, tofauti na wish zako
Washapoteza au mechi zipi unazungumzia ,river United nje ndani ,zanaco 1-2 ,au umeandika ukiwa unasokota ugoriKaka hata yanga mbovu haiwezi poteza game 3 mfululizo kirahisi ivyo
SawaHaina maana kwamba tusikosoe pale mtu anapotoa mawazo yake eti Kisa ya freedom of speeche tena hasa akiwa public figure na mimi sijamuona mjinga ni vile tu nmemshusha vyeo nilivyompa
Washapoteza au mechi zipi unazungumzia ,river United nje ndani ,zanaco 1-2 ,au umeandika ukiwa unasokota ugori
Huyu binti Leah ni mchambuzi njaa!! Mwaka jana alisema hivyo hivyo lakini simba ilichanja mbuga hadi robo fainali tena kwa kuongoza kundi, kitu ambacho utopolo yake haiwezi hata hatua moja!! Utopolo yake imetolewa hatua ya mchangani! Binti Leah ni wa kumpuuza tu!!Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa waliosajiliwa wataanza kuonesha ubora pale tu Simba Sc itapokua imeshatolewa kimataifa , kwa kweli iliniuma sana kuona watu wanalipwa mishahara kuongea ujinga
Last week nilimsikiliza huyu huyu Geaf Leah wakati akiizungumzia Taifa Stars kuhusu kufuzu world cup, alisema ni ngumu kwa Tanzania kufuzu kombe la dunia kitu ambacho ni ukweli lakini akasema ni ngumu kwa Tanzania kuongoza hata Kundi J na ikitokea kaongoza basi Oscar Oscar na Maulid Kitenge wachukue mshahara wake wa mwezi mmoja nikawaza kweli kuna mchambuzi anaeona kuna ugumu huo kwa Tanzania kufuzu kundi ambalo Yupo Benin,Madagascar na DRC mpaka aweke mshahara wake rehani
Simba hii inawezaje kuwa mbovu kwa kuondokewa na wachezaji wawili tu yaani chama na luic, na labda nimwambie warithi wa Luis pale simba ni wengi mtu kama Morrison na Banda ni mawinga wazuri mno , mtu kama chama ana alikua na umuhimu sana kwa simba lakini sio kufikia team kua mbovu baada ya yeye kuondoka na Simba inaweza kua nzuri pengine kuliko ya mwaka Jana
Labda nimkumbushe kuwa Simba iliwahi kufika robo fainali ikiwa na Rashid Juma,Mlipili,kotei na wachezaji wengi wa kawaida kuliko waliopo sasa na hata walimfunga Al Ahly na As Vita pamoja na team bora toka Algeria kwa kipind hicho yaam Js Saoura kwanini hii isifanye vizuri
Na labda nimwambie kama alikua hajui team nyingi hazina viwango vya kutisha hivyo ndo maana Azam,Biashara na Namungo wanafanya vizuri labda nimkumbushe kua wale namungo walifanya vizuri sana msimu uliopita hata kundi lake ni vile lilikua gumu mno mfano pyramids na Raja Athletic ambae alikua bingwa kabisa lakini hawakupata matokeo ya ajabu hivyo mpaka tuseme namungo walikua wabovu ,Simba inaenda kutana na team za Africa tena akiwa Giant sio team za ulaya sio za ulaya kama Bayern au madrid
NB: RASMI NIMEKUSHUSHA VYEO JEOFF LEAH
Huwa hamuuzi wachezaji wapi?Mnaweza ona wanakatisha tamaa nakwanini waseme uwongo ndoshida ya kulelewa wazazi waongo,chama kiongo viongozi
Ukweli ndo huo hakuna wachezaji hua hatuuzi wachezaji wazuri Ila tunawanunua wazuri kidogo pengine ili waungane na wazuri zaidi
Kwamfano Simba ,chama na mwezake wangekuwepo harafu Simba ingeuza akina mugalu iwalete iliyowaleta
Msimu huu Simba ingekuaje kimataifa?
Tatizo hatuna standard za mtu kuwa mchambuzi....ni sawa useme kila mtu anaweza kuwa mwanasheria ....uchambuzi ni taaluma Kama taaluma zingine....ktk nchi zilizoendelea hurusiwi kuwa mchambuzi Kama sio Kocha au uliwahi kucheza mpira...lakini bongo mtu anaajiriwa kwenye redio ajawahi kucheza mpira Wala kusomea ukocha Wala kusomea uandishi wa habari....mtu akijua kuezea mpira kidogo Basi ashakuwa mchambuzi...hatusamini professionalism...wengi tunawajua hawasomea ukocha ..hawajasomea uandishi ...Wala hawajawahi kucheza mpira ...angalia marehemu kashasha na mayai na Hawa wengine utaona utafauti..
Tusubiri kesho....alichokisema ndyo ukwer japo ni mchungu sanaaa utanambia hatua hii simba hafiki popote bila miqusone na chama.
Simba jumapaili anakula 4-0
Kwa Benja anakula 2-0
Anarudi ligi kuu anakutana na maafande wanampiga 1-0
Kisha wagosi wa kaya wanambana ana draw, hapo haabari ya kwisha anasubiri next season ajipange upya.
Sio atajinyea, ameshajinyea tayari atafute tuu ndo ajisafishe.Mkuu kumekucha amka utajinyea
Tusubiri tutaona huu utabiri maana ameshachukua nafasi ya sheikh Yahaya.