Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Bado Jamhuri ipo kwenye growth process , it is too obvious nyie kushinda.
Hakukuwa na changamoto.
Kwanza SSC leo hii ikikutana na YANGA bado SSC atalalwa sio chini ya goli 3 .
Haiwezekani timu ipate clear chances zaidi ya 10 and yet inaondoka na goli moja. Tafsiri yake ni kuwa timu bado haipo sawa.
Kama Stricker ni Baleka, rudini tena kwenye meza mkajitafakari.
Angalau Luis , kama Luis angekuwa na ile combo ya wachezaji wake, angeweza kuwa bora zaidi.
Nasikitika kuona yoyote anaeisifu SSC kwa kufuzu, ni sawa na kupiga bomu mochwar
Chances 10 goli moja? I am done
Hata yule Rasta mpya ni wa mchongo, yaani kwenye usajili SSC sijui ilidhulumu mizimu dah