Tunajua tunachokifanya kwenye program za Watoto ndo maana tunatumia Watoto kweli kwenye mechi zetu
Hatuangaliii matokeo ya leo tunaangalia faida kubwa ya baadae kupitia Watoto hawa
Hatutaki kujidanganya kwa mafanikio ya muda mfupi bali tunawekeza katika maendeleo
Hongereni vijana wetu kwa mchezo mzuri na wala msivunjike moyo malengo yetu ni zaidi ya kuwa mabingwa wa U 20
Hata kama hufuatilii mpira basi hata ktk mitandao hujawahi kuona Simba wakizunguka kutafuta vijana nchi nzima. Tena waliweka hadi range ya umri ya vijana wanaotakiwa.Yeye kajuaje kwamba hao waliopo Simba ni u20 kweli?
Au na yeye kaletewa tu vyeti vya kuzaliwa kipigo hua kina maumivu makali sana.
Wewe ndio hujui lolote basi sasa wakizunguka nchi nzima ndio nin labda?Hata kama hufuatilii mpira basi hata ktk mitandao hujawahi kuona Simba wakizunguka kutafuta vijana nchi nzima. Tena waliweka hadi range ya umri ya vijana wanaotakiwa.
Ahmed mengine kaa kimya tu inatosha.Tunajua tunachokifanya kwenye program za Watoto ndo maana tunatumia Watoto kweli kwenye mechi zetu
Hatuangaliii matokeo ya leo tunaangalia faida kubwa ya baadae kupitia Watoto hawa
Hatutaki kujidanganya kwa mafanikio ya muda mfupi bali tunawekeza katika maendeleo
Hongereni vijana wetu kwa mchezo mzuri na wala msivunjike moyo malengo yetu ni zaidi ya kuwa mabingwa wa U 20
Hawakosagi kichaka Cha kujifichiaSenior team walihujumiwa, huku U20 umri, imradi tu sababu
Duh,kweli utopwinyo ni wawili tu wenye akili timamuMpaka dakika 49 simba u20 kapigwa na yanga u20 goli 5.
Sijajua full time amekandwa goli ngapi!!.
Wakubwa wamekandwa goli 5 watoto nao mpaka dk 49 wamekandwa goli 5,Simba tabu ipo pale pale [emoji16]
Vijeba FCMateso yanaendelea kwa Simba SC kwenye Kariakoo Derby hata kwenye Ligi ya NBC Tanzania bara kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya klabu ya Yanga kuibamiza Simba SC magoli 4-0 katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
FT: Simba Sc [emoji2388] — [emoji2392] Yanga Sc
[emoji460] Willyson Christopher
[emoji460] Sheikhan Khamis
[emoji460] Ahmed Fredrick
[emoji460] Ramadhani Hemed
Kiungo mpya wa Yanga, Sheikhan Khamis alikuwa sehemu ya kikosi kilichoibuka na ushindi huo huku akifunga moja ya magoli.
#KitengeSports
Manara ajengewe sanamu
Walikandwa goli 4 tu.Mpaka dakika 49 simba u20 kapigwa na yanga u20 goli 5.
Sijajua full time amekandwa goli ngapi!!.
Wakubwa wamekandwa goli 5 watoto nao mpaka dk 49 wamekandwa goli 5,Simba tabu ipo pale pale 😁