Simba SC hatuna mchezaji anaitwa Luis Kombe, Tafadhali sana Azam Tv

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimekuwa nalisikia tangazo la kuitangaza mechi ya Yanga Vs Simba Azam Tv.
Katika tangazo hili linalorushwa stations za Azam Tv mtangazaji anataja baadhi ya wachezaji tegemezi wa timu zote mbili. Kwa Simba Sc wanatajwa Chota Chama, Benard Morrison na mwingine akiitwa Luis Kombe.

Katika club chetu hatuna mchezaji anaitwa Luis Kombe. Simba ni brand kubwa sana sio sawa kutengeneza tangazo la kiujanjaunja. Nadhani walimaanisha Luis Jose Miqsonne aka Konde Boy. Huyu mtangazaji nadhani amepewa tangazo akiwa hana uelewa wowote wa masuala ya soka la Bongo kiasi cha kutojua hata majina ya wachezaji. Angekuwa na uelewa asingemuita Miqsone, Luis Kombe.

Azam Tv ninawataka kubadilisha tangazo hilo mapema iwezekanavyo.
 
Kombe au konde...
 
Azam waongo ,jana katika mechi ya Freiburg na Kaiserslautern,mtangaji akadangqnya eti Rud Voeller alichezea Liverpool na akina Michael Owen.Nilishangaa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…