GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Mwekezaji ( Tajiri wa Kurithi ) Mo Dewji hajawekeza vilivyo Simba SC kama tunavyodanganyika kila Kukicha.
2. Simba SC ya sasa inaendeshwa Kienyeji na Kihuni huku Uweledi wa Kiutendaji ukipuuzwa na hata kuwekwa Kando.
3. 85% ya Wachezaji wa Kigeni na hata Wazawa Waliosajiliwa ni wa 10% tupu.
4. 99% ya Waliopewa Dhamana ya Kuingoza Simba SC ni Wapigaji Watupu halafu ni Wasaliti pale Wakiahidiwa Pesa na Maadui.
5. Mchezaji Mmoja kuonekana ni Mungu Mtu ndani ya Kikosi huku Wageni Wakithaminiwa sana na Uongozi naengine kuonekana ni wa Kawaida na hata Kudharaulika imechangia Kuharibu Morali ya Timu.
6. Timu ( Simba SC ) imekosa Watu Mafia ( Wazee wa Michezo Michafu ) kwa Soka la Bongo ( Tanzania ) kama akina Marehemu Priva Mtema, Zachkaria Hanspoppe huku Sisi tuliobaki Hai Kaka Kassim Dewji, Mzee Hassan Dalali, Mtani wangu wa Kihaya Idi Kajuna, Mtani wangu wa Kihaya Mwina Kaduguda, Mtani wangu wa Kirangi Juma Nkamia, Kaka na Poti wangu kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) Crescentius Magori na Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE tukipuuzwa na Mwanamke aliyejimilikisha kila Kitu cha Utawala na mengineyo ndani ya Timu CEO Barbara Gonzalez.
7. Timu haina ( kukosa ) Benchi la Ufundi Imara kuanzia kwa Kocha Juma Mgunda, Kocha wa Viungo na Mwanasaikolojia mzuri wa Kuwajenga vyema Kiakili na Kiutulivu Wachezaji wa Simba SC ambao huhitaji kuwa na Degree au Masters au Doctorate kujua kuwa kwa sasa ( tena kwa jinsi Yanga SC ) inavyofanya vyema huku wakiendelea na Unbeaten Record yao hawako vyema Kisaikolojia kwakuwa hawa ( Yanga SC ) ndiyo Wapinzani Wao Wakubwa.
Kama nilivyowahi Kusema Msimu uliopita kuwa Yanga SC watakuwa Mabingwa na leo ( Msimu huu ) kwa Makosa ya Kipumbavu na Uzembe Wetu GENTAMYCINE nasema huku Nikijiamini kuwa kwa 99.9999% Yanga SC anaenda kuwa Bingwa tena wa NBC Premier League na Sisi Simba SC labda tujitahidi tu Kugombea na Azam FC nafasi ya Pili na Kombe la FA ambalo nalo naona Yanga SC wanaweza Kulibeba japo kwa sababu zangu Binafsi nawaona Azam FC wanaenda Kubeba FA na Msimu huu Simba SC tunaenda kutoka Kapa ( Patupu ) mpaka Akili zetu zitukae sawa na mtakapokuwa mnayaheshimu Mawazo yetu na Ushauri wetu akina GENTAMYCINE wenye Uchungu zaidi na Simba SC kuliko Wanafiki, Wasaliti na Wapigaji watupu wanaoiongoza Klabu kwa sasa.
Nikiwa kama mwana Simba SC, Mdau wa Soka na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka ya Dunia GENTAMYCINE nasema kuwa Yanga SC haihongi bali Yanga SC wamejifunza, wamejisahihisha, wameachana na Upuuzi, Uswahili na sasa Wanapambana na nawaona kwa Kujipanga Kwao ( hasa Kimkakati ) watafika mbali mno.
Ni Ukweli Mchungu ila tuukubali tu kwa sasa na bahati mbaya GENTAMYCINE siyo Muumini wa Unafiki, Uongo na Uwoga ambapo Ukipatia nitakupongeza ila Ukikosea tegemea kupata lawama zangu na Ukinisikiliza ( hasa Kiushauri ) Utafanikiwa ( Utatoboa ) zaidi.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!