GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za Kulipwa.
Haya wale Waandishi na Watangazaji mkiisambaza hii Taarifa semeni Source wenu ni Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE wa JamiiForums sawa? Hamna uwezo wa Kupata taarifa za Ndani zozote zile za Kimichezo kama Mimi hivyo mkiitumia hii Taarifa yangu Source zenu ziwe mbili Mimi na huu Mtandao wa JamiiForums sawa?
Imeisha hiyo.
Kila picture hua Ina lugha yake.. hiyo picture lugha yake sio nzuriPicha ina shida gani?
Kama ndo picha wao wao wamepiga na Simba amepost kwenye page yake InstagramKila picture hua Ina lugha yake.. hiyo picture lugha yake sio nzuri
Nasikia kuwa ni Muhuni na Msela kuliko hata Bernard Morison na Haruna Moshi Boban.SOWAH Inatakiwa Aandaliwe
Pambano Moja La VITASA PLUS
Inaonekana Anajua Sana.
Akipige VITASA PLUS Dhidi Ya BAKA.Nasikia kuwa ni Muhuni na Msela kuliko hata Bernard Morison na Haruna Moshi Boban.
Rejea Post #3Sasa chuma na mkono bora nini?
Wachezaji wengi wa Ghana inasemekana wako hivyo.Ila Kwa wale ambao tulishawahi kuujua uhuni, huyu Sowa ni mhuni wa kutupwa, ukimuona tu utajua ninachosema.
Msemaji wa Simba hana taimu na Simba, yeye ni msemaji wa kijiwe cha stesheni kuhusu Mzize.Ila Afisa habari wa Simba naye kazingua sana. Mipicha gani sasa ile?