Simba SC hongereni.! But next time mtumie akili..! Vitu vidogo manashindwa fikiria

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Hivi kweli nyie mnashindwa kupiga hesabu ndogo!

Mmeenda na Gari, leo mmerudi na ndege, gari yenu iko wapi?? mnashindwa kupiga hesabu kuwa gari inarudi tupu inatumia mafuta yale yale ambayo ingetumia mngerudi nayo!

Sasa ona mnapoteza sh ngapi? nauli za ndege zenyewe zinazidi thamani ya ubingwa wenu! na mafuta juu mnapoteza!

Ngoja tar 12 tuwafundishe! hesabu
 
Kwi kwi kwi kwi Simba banaaa eti wanapanda NDEGE na kutuonyesha vidole kuwa miaka 7 ijayo Mambo yatakuwa ivoivo.....yaani kwenda na bus,kuliacha,kurudi na ndege loooh😂😂😂
 
Yani wewe punje kweli. Simba ilikuwa waende kwa ndege warudi kwa ndege. Busara ikatumika wapunguze route moja ila ndege iwarudishe ili kuwahi ushindi wa tar12.
Halafu umaskini wako usisababishe ukampangia jirani mboga ya kula ili mlingane, shwaini
 
Ushindi wa tar 12, kama Namungo mmemshindwa ushindi huo mtaupata wapi?
 
Inakuwaje Molinga aliyeingia dk ya 85 na kocha mkuu walienda shinyanga na ndege halafu kocha msaidizi na first eleven walienda na bus bovu?
baada ya kutusema sna, tuliamua kuwaonyesha kuwa tunahela tunaweza safirisha mchezaji kwa ndege na tusimcheze pia!
 
Huo ni uamuzi wa mabingwa wakiamua kupanda ndege poa wakiamua kupanda bus lao shwari tu. Tarehe 12 upost Tena.
 
Yani wewe punje kweli. Simba ilikuwa waende kwa ndege warudi kwa ndege. Busara ikatumika wapunguze route moja ila ndege iwarudishe ili kuwahi ushindi wa tar12.
Halafu umaskini wako usisababishe ukampangia jirani mboga ya kula ili mlingane, shwaini
😂😂
 
baada ya kutusema sna, tuliamua kuwaonyesha kuwa tunahela tunaweza safirisha mchezaji kwa ndege na tusimcheze pia!
Kwa hiyo kufanya hivyo hamkupoteza shilingi ila simba ndio wamepoteza shilingi utopolo bhana
 
Ushindi wa tar 12, kama Namungo mmemshindwa ushindi huo mtaupata wapi?
Hivi Yanga msimu huu au hata mechi za kirafiki wamewahi kumfunga Namungo?
Ngoja nipekue pekue nione
 
Huo ni uamuzi wa mabingwa wakiamua kupanda ndege poa wakiamua kupanda bus lao shwari tu. Tarehe 12 upost Tena.

hapa tunaongea regarding very simple calculations! au mlikuwa hamna nauli za ndege kwenda mmesubiri mgao wa mechi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…