msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
Sijakumanya, Kivip ndugu?Ngoja misukule wa kanjibhai waje
SoonNkana wanakuja lini dsm
Yupo kakahivi Manji yupo?
Hatari sanaOKWI & CHAMA for sale. Chama bilioni 4.5,Okwi price unknown
Waguna nn madam?Mmh.
I mean wana jangwani aka vyuraa[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Sijakumanya, Kivip ndugu?
Hatari sanaNi kweli
Simba sc wanastahili pongezi.
Wamecheza katika kiwango bora kabisa.
Atakapoanza na yule beki mbili mambo yatakuwa moto zaidi.
John Boko inabidi ajirekebisha kama anataka kuendelea kucheza Simba.
Kasoro yake ni Papara tu.
Akipewa pasi anapiga bila ya kuliangalia goli na Kipa alivyokaa.
Matokeo yake anapiga nje au anamlenga kipa akiwa peke yake kabisa.
Boko tunakutegemea sana hebu angalia goli kabla ya kupiga mpira golini.
Goli moja ndio ushindi.
Uwezo unao, nguvu unazo, nia unayo unakosa umakini tu ea kumalizia.
Tulia acha haraka haraka sana
Jifunze kwa Chama na Okwi.
SafiI mean wana jangwani aka vyuraa[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Naguna tu.Waguna nn madam?
Wacha weee.Kwa niaba ya mashabiki kindaki ndaki wa simba OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat, sembo, Sapta Sapta na wengineo wengi nazipokea, bila kumsahau mkuu GENTAMYCINE.