SIMBA SC HONGERENI SANA

Tusubiri tuone kikubwa usije kimbia kauli zako.
Bila shaka mkuu, Simba ina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi yoyote ile kutokana na ubora wa kikosi tulichonacho kwa sasa.
 
Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa

Ushauri
Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko
Naunga mkono hoja uliyoitoa kwenye last paragraph, kiukweli tunahitaji striker ambaye katika nafasi tatu atakazopata ana uwezo wa kutumia nafasi mbili na kukosa moja au kwa tabu sana atumie moja katika tatu atakazozipata.
 
Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa

Ushauri
Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko
Mkuu hii ilikuwa back then 2018 unasema atafutwe mbadala wa bocco, leo ni 2023 bado bocco anapata nafasi pale wekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…